Writen by
sadataley
10:26 PM
-
0
Comments
Sikiliza mahojiana ya Dr. Slaa na VOA leo Alhamis September 26, 2013 kupitia Voice of America, VOA. Kipindi kitakuwa saa 1:30 Usiku (7:30pm) kwa saa za Africa Mashariki na Saa saba na nusu mchana (1:30pm) kwa saa za America ya mashariki (Eastern standard time)
Unaweza kusikiliza kupitia Radio Free Africa, Radio Tumaini, Cocunut FM n.k
Kwa wa online nenda VOA website hapa VOA

No comments
Post a Comment