Monday, September 23, 2013

Shule kongwe kurejeshewa kidato cha kwanza


WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inashughulikia utaratibu wa kurejesha utoaji wa elimu ya kidato cha kwanza hadi kidato cha nne, katika baadhi ya shule kongwe, ili kurudisha ufaulu uliokuwepo na kuimarisha malezi ya watoto kuanzia elimu ya chini. ...
Kwa habari zaidi ingia www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/16748-shule-kongwe-kurejeshewa-kidato-cha-kwanza
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment