Wednesday, October 9, 2013

Eneo la Ujenzi wa Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi.


Matayarisho ya ujenzi wa Mnara wa kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi unaotarajiwa kujengwa katika eneo hili la wazi katika bustani ya michezani jumba namba 2, Eneo hili lilotayarishwa kwa ajili ya Mnara huu unaotarajiwa kujengwa kuazia sasa ikiwa ni moja ya historia ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment