Saturday, October 12, 2013

KKKT DAYOSISI YA IRINGA YAANDAA SEMINA ELEKEZI KWA WAANDISHI NA WATANGAZAJI WA REDIO FURAHA 96.7 FM. AMBAYO INAENDELEA KATIKA KITUO MAARUFU CHA MAONYESHO CHA MKWAWA MAGIC SITE




      Semina ikiendelea
Mwezeshaji wa semina hiyo Muhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Iringa Bw. Simon Berege akitoa mafundisho maalum
    Radio Furaha 96.7fm  Dadas-"Sisters" wakiwa wenye furaha

    Radio Furaha 96.7 fm  Kakas-"Brothers" wakiwa na Mchungaji Keneth Comoro
               Radio Furaha 96.7fm  "Sisters".
   Mwezeshaji wa semina hiyo Muhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Iringa Bw. Simon Berege akitoa maelekezo
    Meneja wa Radio Furaha 96.7 fm Bw. Protas Kanemela akifuatilia semina hiyo
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment