Sunday, August 24, 2014

JOSE MOURINHO AWACHARUKIA DIEGO COSTA NA WENZAKE LICHA YA KUSHINDA 2-0 DHIDI YA LEICESTER

Kibarua kizito: Diego Costa aliifungia Chelsea bao la kuongoza dhidi ya timu ngumu ya Leicester. JOSE Mourinho aliwajia juu wachezaji wake kuwa ni wavivu kufuatia kucheza vibaya kipindi cha kwanza licha ya ushindi wa mabao 2-0 waliopata jana dhidi ya  Leicester. Chelsea walibanwa mbavu kipindi cha kwanza na timu mpya iliyopanda daraja ya  Leicester  kabla ya Mourinho kuwawashia moto wachezaji wake wakati wa mapumziko. Mabao ya Diego Costa na Eden Hazard yalitosha kuwapa ushindi The Blues katika dimba la Stamford Bridge.  Vijana kazeni: Jose Mourinho aliwajia juu wachezaji wake baada ya...
Kwa habari zaidi ingiahttp://shaffihdauda.com/?p=5541
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment