Matukio ya kumsindikiza safari yake ya mwisho mzee Thomas Asangye Bangu, leo katika kijiji cha Malangali. Mzee Thomas ni baba mzazi wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa Prof. Nicholas Bangu. Mkuu wa KKKT Askofu Dr. Alex Malasusa aliwaongoza waombolezaji.
No comments
Post a Comment