Wednesday, September 10, 2014

NAPE AKUTANA NA BALOZI KALLAGHE MJINI LONDON


 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akizungumza na  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London ambapo walizungumza masuala mbali mbali yakiwemo ya Uchumi,Siasa pamoja na Diaspora.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment