Writen by
sadataley
6:21 PM
-
0
Comments
Timu za Uingereza kuchuana na wapinzani kutoka Ujerumani katika kombe la mabingwa barani Ulaya
Arsenal imeratibiwa kuchuana na
Borussia Dortmund ya Ujerumani kwa mwaka wa pili mfululizo huku Chelsea
ikijipata na upinzani wastani wa Schalke 04 , Sporting Lisbon na
Maribor.
Kundi A
Kundi B
Kundi C
Kundi D
- Atletico Madrid
- Juventus
- Olympiakos
- Malmo
Kundi B
- Real Madrid
- FC Basel
- Liverpool
- Ludogorets Razgrad
Kundi C
- Benfica
- Zenit St Petersburg
- Bayer Leverkusen
- Monaco
Kundi D
- Arsenal
- Borussia Dortmund
- Galatasaray
- Anderlecht
Kundi E
Kundi F
Kundi G
Kundi H
- Bayern Munich
- Manchester City
- CSKA Moscow
- Roma
Kundi F
- Barcelona
- Paris St-Germain
- Ajax
- Apoel Nicosia
Kundi G
- Chelsea
- Schalke
- Sporting Lisbon
- Maribor
Kundi H
- Porto
- Shakhtar Donetsk
- Athletic Bilbao
- BATE Borisov
Liverpool iliandikisha jina lake katika daftari za kumbukumbu ya soka ya bara Ulaya ilipoilaza Real Madrid 1-0 katika fainali ya mwaka wa 1981 mjini Paris.
Lakini baada ya kufungua msimu kwa matokeo wastani Brendan Rodgers sasa anakibarua kigumu dhidi ya mabingwa hao watetezi wa bara Ulaya katika mkondo wa kwanza .
''kwa mtizamo wangu kurejea tena katika kilele cha kandanda katika bara ulaya ni jambo la kujivunia sana .Kujumuishwa pia na Real madrid katika kundi moja ni tukio la kipekee na ambalo litavutia hisia kali ushindani mkali kwa sababu wao ndio mabingwa wa tetezi wa kombe hilo''alisema Rodgers kupitia mtandao wa Liverpool.
No comments
Post a Comment