Writen by
sadataley
6:26 PM
-
0
Comments
Jennifer Lawrence
Idara ya upelelezi ya nchini
marekani FBI linachunguza kwa ukaribu madai ya maelfu ya accounts za
watu maarufu kutekwa,na kinachotafutwa hasa ni picha za utupu za watu
hao maarufu ambazo zimekua zikianikwa mitandaoni bila ya muwekaji
kujulikana.
Hili limemkuta mshindi wa tuzo ya Oscar Jennifer
Lawrence ambaye picha zake ziliachiliwa mtandaoni,kampuni ya
utengenezaji wa simu za mkononi Apple wamesema wao wanachunguza ikiwa
uvujaji wa picha hizo umesababishwa na iCloud.Apple inasema inachunguza ikiwa akaunti za iCloud zimevamiwa.
Bi Lawrence, ambaye anaigiza katika filamu ya Hunger Games ameomba uchunguzi ufanywe baada ya picha za waigizaji, nyingi zikiwa za uchi kupatikana katika simu za mkononi za waigizaji mashuhuri.
No comments
Post a Comment