Writen by
sadataley
10:46 AM
-
0
Comments
KAMPUNI ZA ASAS ZAONGOZA KWA ULIPAJI KODI BORA KWA MKOA WA IRINGA | Mlipaji kodi mdogo mkoa wa Iringa Shakra kiwanga akionyesha cheti alichokabidhiwa na TRA leo |
| Meneja wa TRA mkoa wa Iringa Rosalia Mwenda akimpongeza Bw Asas kwa ushindi katika ulipaji kodi |
| Cheti kilichotolewa kwa kampuni ya Asas |
| Salim Asas akionyesha cheti kwa wanahabari baada ya kukabidhiwa cheti hicho kwa kuwa mlipaji kodi mzuri |
| Salim Asas akionyesha cheti cha ulipaji kodi bora |
| Mzee Kaundama akipokea cheti |
| Meneja wa TRA Iringa Bi Mwenda akitoa maelezo ya awali |
| Meza kuu |
| Mfanyabiashara Kaundama akijitambulisha |
| Wanafunzi wakiigiza igizo la matumizi ya mashine ya EFDS |
| Wadau wa TRA Iringa wakiwa katika sherehe ya siku ya mlipa kodi |
| Baadhi ya waalikwa wakishuhudia |
| Msanii Iringa akionyesha ujuzi wa kucheza na nyoka aina ya chatu |
| Wanafunzi wakihamasisha ulipaji kodi |
| Watumishi wa TRA Iringa wakijadili jambo kabla ya sherehe hiyo kuanza |
| Mlipaji kodi mdogo Iringa Shakra kiwanga akippongezwa kwa ushindi wa pili |
| Salim Asas akihojiwa na wanahabari mkoani Iringa kuhusu tuzo mbili alkizopata kwa kuongoza katika ulipaji wa kodi mkoa wa Iringa |
| Waandishi wa habari Iringa wakimhoji Salim Asas baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza kwa ulipaji mzuri wa kodi mkoa wa Iringa |
Habari kwa hisani ya matukiodaima Blogu. |
No comments
Post a Comment