Wednesday, February 4, 2015

ASKOFU DKT. MDEGELA AWAASA WACHUNGAJI KUTOJIINGIZA KWENYE SIASA
Askofu Dkt. Owdenburg  Moses Mdegella

                                    


ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Dkt. Owdenburg Mdegela amewataka Wachungaji wa Kanisa hilo kutojihusisha kwenye na masuala ya kisiasa.

Askofu Dk  Mdegela amesema kwamba  sio rahisi kwa wachungaji kuliongoza Kanisa kama wanavyotakiwa kufanya ikiwa watajiingiza kwenye siasa.
Amesema ni wakati wa Wachungaji hao kutafakari na kuiacha kazi ya siasa ifanywe na wanasiasa wenyewe badala yake waendelee na kazi yao ya kulinda Kanisa.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment