Wednesday, July 1, 2015

kivumbi last part

Veronica Kazimoto Ameahidi kuinua uchumi na kumfikia kila Mtanzania Peter Nyalali Ameahidi kukuza demokrasia pamoja na kuleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali. Stephen Wasira Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushiriki ameahidi kuleta mageuzi katika kilimo akisema jembe la mkono litapelekwa makumbusho kuwa historia. chanzo wwww.mwananchi.co.tz
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment