Monday, February 20, 2017

ASKOFU MKUU KKKT DKT SHOO APONGEZA DAYOSISI YA IRINGA


Mkuu wa KKKT Dkt Frederick Shoo akiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Iringa Mchungaji Blaston Gavile ( kulia kwake )  na Msaidizi wa Askofu Mchungaji  Himid Sagga kabla ya kuanza kwa Ibada maalum ya kumuaga Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa Askofu Dkt. Owdenburg Moses Mdegella hayupo pichani katika ibada iliyofanyika katika  Usharika wa Kanisa  Kuu Iringa mjini
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment