Saturday, February 4, 2017

POLISI DAR YAONJESHWA JOTO LA JIWE NA LIPULI IRINGA YALIPULIWA 3-1 UWANJA WA SAMORA

 

Mchezo  wa Lipuli FC waunganisha  vyama  Iringa Chadema na CCM pamoja  kuishangilia Lipuli pichani katikati ni mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (cvhadema)  akiwa na makada wa CCM Joseph Muumba na  mwenyekiti wa CCM mkoa  wa Iringa  Jesca Msambatavangu  leo uwanja wa Samora wakishuhudia  timu ya Lipuli  FC kurejea  ligi kuu Tanzania bara kwa  kuichapa 3-1 Polisi Dar 
Mbunge  Mwamoto  kulia askimpongeza  mwenyekiti wa chama  cha soka  mkoa  wa Iringa Cpylian Kuyava  ,mwenye  sare nyekundu ni DC Iringa Richard Kasesela
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment