Writen by
sadataley
10:21 AM
-
0
Comments
Serikali inaendelea kutekeleza ahadi yake kukamilisha kupima kila kipande cha ardhi na kumilikisha kwa wahusika na kukamilisha ndani ya miaka mitano.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa uzinduzi wa utoaji wa hati miliki za kimila katika vijiji vya Hembeti na Dihombo Wilayani Mvomero.
Hivyo amewataka wananchi kutoa ushirikiano kilamwananchi kwa kipande atakachomilikishwa apewe na hati ya kipande hicho cha ardhi anachomiliki.

Hata hivyo amewataka wakazi wa kijiji cha Kambala ambako zoezi hilo lilikuwa halijaanza kwa sababu ya kuwekewa zuio kupitia vyombo vya kisheria sasa kesi imeisha na wameruhusiwa kuendelea na zoezi na kwamba wakae mkao wa kula kwa zoezi hilo ikiwa ni pamoja na kufanya sensa ya mifugo iliyopo ndani ya kijiji hicho.

Chanzo Matukiodama Blog

No comments
Post a Comment