Writen by
sadataley
1:09 PM
-
0
Comments
Mwenyekii wa Kamati ya Kudumu ya Ardhi
,Maliasili na Utalii,Atashasta Ndetiye (katikati) akiongozana na wajumbe
wengine wa kamati hiyo kutizama vyanzo vya maji vilivyoko katika Pori
Tengefu la Loliondo.
Msafara wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Ardhi,Malisili na Utaalii,yakipita katika maeneo mbalimbali ya
Pori Tengefu la Loliondo kwa ajili ya kujionea hali halisi ya mgogoro
uliopo katika eneo hilo.
Waziri wa Malisili na Utalii ambaye pia
ni mjumbe wa kamati hiyo,Prof Jumanne Maghembe akiongozana na wataalamu
katika ziara ya kamati hiyo.
Mtafiti Mkuu wa Idara ya Ikolojia
(TAWIRI) Dkt Edward Khoi akitoa maelezo ya kitaalamu kwa wajumbe wa
kamati ya kudumu ya Ardhi,Malisili na Utalii wakati wakitembela Pori
tengefu la Loliondo.
Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wakifuatilia maelezo kutoka kwa wataalamu wa Ikolojia na Uhifadhi.
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti,William Mwakilema akiwaeleza wajumbe w kamati hiyo madhara
yatakayojitokea endapo eneo la Pori Tengefu la Loliondo halita
hifadhiwa.
Wajumbe wa Kamati ya Maliasili na
Utalii,wakitizama eneo linalotajwa kutengenezwa na wafugaji kwa ajili ya
kunyweshea maji mifugo yao ndani ya Pori Tengefu la Loliondo.
Eneo linalotumiwa na wafugaji kunyweshea mifgo yao.
Sehemu ya Mabirik yanayotajwa kutengenezwa na jamii ya wafugaji kwa ajili ya kunywesha mifugo yao.
Mwenyekiti a Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Utalii,Atashsta Ndetiye (kulia) pamoja na Waziri wa
Maliasili na Utalii,Prof ,Jumanne Maghembe wakitizama eneo ambalo ni
mapitio ya maji katika Pori Tengefu la Loliondo.
Moja ya Makundi ya Ng’ombe yaliyokutwa na Kamati hiyo katika Pori Tengefu la Loliondo.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Utalii wakizungumza na mmoja wa wafugaji waliokutwa
wakichunga Ngombe ndani ya Pori Tengefu la Loliondo.
Kamati ilikutana pia na Changamoto ya ubovu wa Miundombinu ya barabara hali iliyolazimu magari kupita kwa tahadhari .
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Utalii wakitizama moja kati ya vyanzo vya maji
vinavyotiririsha maji yake katika mto Gurumeti uliopo katika Hifadhi ya
Taifa ya Serengeti.
Mbunge wa Jimbo la Sumve ambaye pia ni
mjube wa kamati hiyo,Richard Ndasa akizungumza jambo mara baada ya
kutizama moja ya vyanzo vya maji vilivyoko katika eneo la Pori Tengefu
la Loliondo.
Sehemu ya Makundi ya Mifugo pamoja na Mashamba yaliyopo katika eneo la Pori Tengefu la Loliondo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazinia

































No comments
Post a Comment