Writen by
sadataley
12:40 PM
-
0
Comments
![]() |
| Kubenea mbunge wa Ubungo |
Waziri mkuu mstaafu Frederick Sumaye aliyehamia Chadema amefanikiwa ndoto yake ya kutaka uongozi chadema baada ya kushinda nafasi yauenyekiti wa chadema kanda ya Pwani
Sumaye amemshinda leo mpinzani wake Kidera aliyepata kura 15 sawa na asilimia 17,huku Sumaye akipata kura za kishindo 74 sawa na Apolónia 83.
Wakati nafasi ya umakamu mwenyekiti ikichukuliwa na mbunge wa Ubungo Said kubenea aliyepata kura 60 sawa na asilimia 60.67 na kumzidi mpinzani wake Hasan aliyepata kura 18
Wengine waliogombea nafasi mbali mbali ni pamoja na nafasi ya
*M/Hazina*
Kasilima : 19= 21%
Ruth (MB) : 50 =56%
Lucy (MB) : 20 =22%
Idadi ya wapiga Kura: 112
Kura zilizopigwa : 89
Chanzo:Matukiodaima Blog


No comments
Post a Comment