Writen by
sadataley
10:11 AM
-
0
Comments
Meneja wa Oxford nchini Tanzania, Fatma Shangazi akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuzindua
kamusi ya Kiswahili itakayopatokana mtandaoni bila malipo katika
kuadhimisha miaka 50 tangu kuanza kwa kazi zake za uchapishaji hapa
nchini leo katika ofisi za Oxford jijini Dar leo.
Mkutano ukiendelea
Meneja wa Oxford nchini Tanzania, Fatma Shangazi akiwaonesha jinsi ya kutumia kamusi ya Kiswahili itakayopatokana mtandaoni mara baada ya kufanya uzinduzi huo kwenye ofisi za Oxford jijini Dar leo.
Meneja
wa Oxford nchini Tanzania, Fatma Shangazi pamoja na Betty Paul kutoka
Oxford nchini Tanzania wakionesha kamusi za Oxford zitakazokuwa
zinapatikana kwenye tovuti iliyozinduliwa leo.
Mchunguzi
na mhadhiri wa Kiswahili kutoka Taasisi ya Taaluma za Kiswahili
(TATAKI), Musa Mohamed Shembilu akizungumza na waandishi wa habari mara
baada ya Oxford Tanzania kuzindua kamusi ya Kiswahili itakayopatokana
mtandaoni bila malipo katika kuadhimisha miaka 50 tangu kuanza kwa kazi
zake za uchapishaji hapa nchini.
Habari kwa hisani ya Mtandao wa Godwin Francis
No comments
Post a Comment