RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO MACHI 6,2017
Writen by
sadataley
1:13 PM
-
0
Comments
Rais
na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli akijiandaa kufyatua risasi
ya bastola kuashiria matumizi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa
Ngerengere mkoani Morogoro Machi 6, 2017
Rais
na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli na Balozi wa China nchini
Dkt katika picha ya pamoja na viiongozi mbalimbali baada ya uzinduzi
rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere mkoani Morogoro
leo Machi 6, 2017.
Rais
na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli na Balozi wa China nchini
Dkt wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa
ndegevita wa Ngerengere mkoani Morogoro Machi 6, 2017
Rais
na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa
uzinduzi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere mkoani
Morogoro leo Machi 6, 2017.
Picha na Ikulu Blog
No comments
Post a Comment