Writen by
sadataley
1:51 PM
-
0
Comments
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na kuagana na
Mhe, Airlangga Hartarto ambae ni miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini
Indonesia katika uwanja wa Ndege wa Soekarno Hatta Mjini Jakarta
Nchini Indonesia baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Jumuiya ya Nchi
zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini humo akimuwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Mkewe Mama
Mwanamwema Shein (kushoto) wakizungumza na kuagana na Mhe, Airlangga
Hartarto ambae ni miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia katika
uwanja wa Ndege wa Soekarno Hatta Mjini Jakarta Nchini Indonesia baada
ya kumalizika kwa Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya
Hindi IORA Nchini humo Dk.Shein alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
(katikati) wakiagana na Mhe, Airlangga Hartarto ambae ni miongoni mwa
Viongozi wakuu Nchini Indonesia katika uwanja wa Ndege wa Soekarno
Hatta Mjini Jakarta Nchini Indonesia baada ya kumalizika kwa Mkutano
wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini humo
Dk.Shein alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli. [Picha na Ikulu.] 09/3/2017.
No comments
Post a Comment