Wednesday, March 8, 2017

RC IRINGA AMINA MASENZA AWASILI MUFINDI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE KIMKOA


mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza  kushoto akipokelewa asubuhi hii na mwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Marcelina Mkini ambae ni mjumbe wa NEC Taifa kutoka wilaya ya Mufindi,mkuu wa mkoa amepolewa ofisi ya DC Mufindi kwa ajili ya kwenda kijiji cha Ikanga kata ya Mdabulo ambako maadhimisho hayo yanafanyika kimkoa 
Mkuu wa mkoa Amina Masenza akisalimiana na viongozi mbali mbali
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment