Tuesday, March 7, 2017

UWT MKOA WA IRINGA WAWAKUMBUKA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA, WAFANYA USAFI SOKO KUU NA RC MASENZA PAMOJA NA DC KILOLO, IRINGA NA MBUNGE KABATI


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza wa pili kutoka kulia akifanya usafi soko kuu la Manispaa ya Iringa na umoja wa wanawake wa CCM Manispaa ya Iringa katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani itajayofanyika kesho machi 8,kushoto ni mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah, Kulia kwake ni mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati na katibu wa UWT mkoa wa Iringa na wanachama wengine
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akifanya usafi leo



« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment