Writen by
sadataley
3:10 PM
-
0
Comments

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa
NHC Bw. Nehemia Mchechu akitoa taarifa ya shirika hilo kwa kamati ya
Bunge ya Hesabu za Serikali wakati kamati hiyo ilipotembelea miradi ya
shirika hilo iliyopo jijini Dar es salaam, Kamati hiyo imesifu kazi
zinazofanywa na shirika hilo kutokana na kuendeleza miradi mbalimbali ya
ujenzi wa majengo ya kuuza na kupangisha.
Mh. Haji Mponda Mwenyekiti wa Kamati ya
Bunge ya Hesabu za Serikali akizungumza na Mama Blandina Nyoni
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC
Mkurugenzi wa Ubunifu shirika la nyumba
la NHC Bw. Issack Peter akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya bunge ya
Hesabu za serikali wakati waliptembelea miradi ya shirika hilo
inayojengwa jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw.
Nehemia Mchechu akizungumza na waandishi wa habari wakati Kamati ya
Bunge ya Hesabu za Serikali ilipotembelea miradi ya shirika hilo.
Wajumbe wa Kamti ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakitembelea mradi wa 711 unaotekelezwa na shirika hilo uliopo Kawe
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw.
Nehemia Mchechu akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu
za Serikali ilipotembelea kwenye miradi hiyo.
Mkurugenzi wa Fedha NHC Bw. Felix Maagi
akizungumza na mmoja wa wajumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali
waliotembelea katika miradi ya NHC.
Wajumbe wa Kamti hiyo Munde Tabwe kushoto na mama Burra wakijadiliana jambo wakati kamati hiyo ilipotembelea katika miradi ya shirika hilo jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Shirika la Nyumba Mama Blandina Nyoni akizungumza na Mkurugenzi wa
Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu na mkurugenzi wa Ubunifu
Isaack Peter.
Isaack Peter Mkurugenzi wa Ubunifu NHC akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakati walipotembelea miradi ya shirika hilo jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Kamti ya Bunge ya Hesabu
za serikali Mh. Haji Mponda akiuliza swali kwa Mkurugenzi wa Shirika la
Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu wakati wajumbe wa kamati hiyo
walipotembelea katika miradi ya shirika hilo jana.
No comments
Post a Comment