Thursday, May 25, 2017

Roketi ya kwanza kabisa yarushwa kutoka New Zealand.

Roketi ya kwanza kabisa yarushwa kutoka New Zealand

Haki miliki ya pichaTWITTER/@ROCKETLABUSA
Image captionRoketi ya kwanza kabisa yarushwa kutoka New Zealand
Kampuni moja ya Marekani imerusha roketi kuenda anga za juu kutoka nchini New Zealand ambayo ni ya kwanza kutoka kituo cha kibinafsi.
Roketi hiyo iliondoka kutoka rasi ya Mahia katika kisiwa kilicho Kaskazini.
Jaribio hilo ndilo la kwanza kuwai kufanywa kutoka nchini New Zealand, linalotajwa kuwa hatua kubwa ya roketi kubeba satelaiti ndogo na mizigo mingine.
Roketi ya kwanza kabisa yarushwa kutoka New ZealandHaki miliki ya pichaROCKET LAB
Image captionRoketi ya kwanza kabisa yarushwa kutoka New Zealand
Kampuni hiyo ina mipango ya kufanya shughuli za kibiashara za kurusha maroketi baadaye mwaka huu.
Jaribio hilo ambalo ni kati ya matatu yaliyopangwa, roketi haikubeba mzigo wowote lakini kampuni ya Rocket Lab inasema kuwa roketi hiyo itabeba kilo 150 kuenda kwa mzingo dunia.
Mwanzilishi wa kampuni ya Rocket Lab ambaye pia ni mkurungenzi mkuu ni raia wa New Zealand
An aerial view of the launchHaki miliki ya pichaDIGITAL GLOBE
Image captionThe launch site is located on North Island's Mahia peninsula
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment