Tuesday, May 23, 2017

Waziri wa Trump asinzia mbele yake

Waziri wa biashara na uchumi wa Marekani asinzia wakati rais wa Marekani Donald Trump akitoa hotuba mjini Riyadh.Waziri Wilbur Ross alijikuta amepitiwa na usingizi wakati akiwa amekaa karibu na Ivanka Trump.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment