Thursday, June 1, 2017

Bashe aifunda Serakali


Mbunge wa Nzenga Mjini Hussein Bashe aipa somo Serikali la kukete meza moja na Wafanyabiashara wakubwa kujadili masulua ya kodi.

 Bashe amesema kuwa serikali ikae na wafanya biashara na walipa Kodi wakubwa na kukusanya maoni yao juu ya kuimalisha nja za mapato.

Bashe amesema kuwa njia  hiyo itaweza kuwa mwarobani wa mdororo wa uchumi.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment