Monday, June 5, 2017

Jinsi Juventus walivyorejea kwao baada ya kipigo cha Real Madrid

 Baada ya kupoteza kwa kufungwa kwa mabao 4-1 dhidi ya Real Madrid katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Juventus wamerejea nyumbani Italia.

Pamoja na kuukosa ubingwa, mashabiki walionekana kuwapongeza wakiwapungia mkono kuonyesha bado wanawapa heshima kubwa.








« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment