Friday, June 30, 2017

Kisa Cha Diwani wa Chadema aliyejiuzulu, Arusha


DIWANI wa Kata ya Murriet mkoani Arusha kupitia Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Credo Kifukwe ajiuzulu nafasi yake.

Kifukwe amesema kuwa ameamua kujiuzulu nafasi yake ili aweze kupata muda na nafasi ya kuitumikia wananchi na familia yake na bila kuweka itikadi mbele.

"Ninajiuzulu nafasi yangu ili niweze kumuunga mkono Rais Magufuli katika utendaji wake, dhamira inanisuta kuwa katika kundi linalopinga kila kitu mimi binafsi nipo tayari kushirikiana bega kwa bega" alisema Kifukwe.

Aliongeza kuwa haoni sababu ya kuendela kumpinga Rais Magufuli na wateule wake kwa sababu yeye ni mpinzani ingawa kazi wanayofanya inakubalika na inaonekana
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment