Sunday, June 18, 2017

Kombe la mabara: Urusi 2 - 0 New Zealand

Denis Glushakov wa Urusi akipambana katikati ya mabeki wa New Zealand kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 31 akimlazimisha Michael Boxall kujifunga katika mechi ya Kundi A michuano ya Kombe Mabara jana Uwanja wa Krestovskyi mjini St. Petersburg. Bao lingine la wenyeji, Urusi lilifungwa na Fyodor Smolov dakika ya 69
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment