Saturday, June 17, 2017

Nape aachia ujumbe mzito

"Tumekuwa tukidhani kuwa Wanasiasa pekee ndio wenye uwezo wa kutatua shida zetu, Lakini unaweza kukuta kumbe wao ndio chanzo cha matatizo yetu" Ameposti Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa Twitter akimkariri Ben Carson
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment