Friday, June 30, 2017

Polepole: CCM inaunga mkono kauli ya kutokurudi masomoni wanafunzi waliopata Ujauzito shule

Humphrey Polepole Katibu wa Itikadi na Uenezi amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kinaunga Mkono Kauli ya Rais Magufuli ya kutorudi masomoni kwa wanafunzi waliopata ujauzito wakiwa shule kwenye mfumo rasmi wa Elimu.

Polepole amesema kuwa wanafunzi waliopata ujauzito hawataweza kurudi shuleni kwenye mfumo rasmi isipokuwa kwenye Mfumo wa elimu ya watu wazima.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment