Monday, June 19, 2017

TAKUKURU inawashikilia Waliotajwa kashifa ya Escrow

TAKUKURU inawashikilia Singh Sethi na Rugemalila(Waliotajwa kashifa ya Escrow ) kwa tuhuma za uhujumu uchumi

- Kupelekwa Mahakamani

TAKUKURU imesema inawafikisha mahakamani watuhumiwa, James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment