Writen by
sadataley
11:33 AM
-
0
Comments
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipokuwa akiondoka nchini jana kwenda Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali alipokuwa akiondoka nchini kwa ajili ya ziara hiyo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiagana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud

No comments
Post a Comment