Friday, July 7, 2017

Jaji wa Mahakama Kuu aachia ngazi

Rais Magufuli ameridhia maombi ya kustaafu mapema kwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania, Prof. John Eudes Ruhangisa, alikua Kanda ya Shinyanga.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment