Wednesday, July 5, 2017

Qatar yawasilisha jibu lake kuhusu masharti ya nchi za Kiarabu

Waziri wa mambo ya nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman Al Thani awasili nchini Kuwait kuwasilisha jibu kufuatia masharti 13 yaliyotolewa na mataifa ya ghuba .

Siku ya Jumamosi alisema kwamba orodha ya masharti yaliyotolewa hayatakubaliwa .

Lakini maelezo zaidi ya jibu la Qatar kwa mataifa ya kiarabu bado haijatolewa
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment