Wednesday, July 12, 2017

Rais wa Zamani wa Senagal agombea Ubunge



Rais wa zamani, Abdulaye Wade(91) amerejea nchini humo akitokea Ufaransa ili  atimize adhima yake ya kugombea Ubunge

Wade anatarajia kugombea  Ubunge katika Uchaguzi wa Julai 30, 2017

Rais Wade alipata upinzani ndani utawala wake mpka kuundwa kwa kundi linalojiita "tumechoka"
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment