Saturday, July 22, 2017

Rooney apewa mbinu za kuwafunga kina Samatta leo

Kocha Ronald Koeman (kushoto) akimpa maelekezo mshambuliaji wake, Wayne Rooney nchini Uholanzi wakati wa mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, KRC Genk wanaijivunia mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta leo Uwanja wa Luminus Arena, Genk, Ubelgiji
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment