Writen by
sadataley
12:59 PM
-
0
Comments

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi akiongozana na Meneja Masoko Tuntufye Mwambusi alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika Maonyesho ya 41 ya Sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.

Meneja Masoko wa NHC Tuntufye Mwambusi akimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya Sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi akisani kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonyesho ya 41 ya Sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.

Wananchi mbalimbali wakiwa katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa

Afisa Masoko Mwandamizi wa NHC Emmanuel Lyimo akitoa maelezo ya miradi inayotekelezwa na Shirika la Nyumba

Afisa Mauzo Mwandamizi wa NHC. Joseph Haule akitoa maelezo kwa Wananchi waliotembelea banda la NHC katika viwanja vya Sabasaba

No comments
Post a Comment