Sunday, August 13, 2017

Man City yaanza kwa ushindi, Aguero atupia

Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester City dakika ya 70 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Brighton Uwanja wa Amex usiku wa jana. Bao la pili lilifungwa na  Lewis Dunk aliyejifunga dakika ya 75.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment