Thursday, September 7, 2017

Burundi yatuhumu Umoja wa Ulaya kuhusika na ripoti ya UN

Serikali ya Burunndi yatuhumu Umoja wa Ulaya  kushinikiza ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu  haki za binadamu .

Ripoti iliotolewa na Umoja wa Mataifa inawatuhumu baadhi ya viongozi wa ngazi za juu nchini Burundi kuhusika na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Mshauri wa Rais wa Burundi Willy Nyamitwe aliwaambia waandishi wa habari Kuwa tume iliotoa ripoti hiyo ilio n'a malengo y'a kisiasa imeshinikizwa n'a Umoja wa Ulaya.

Wajumbe wa Umoja wa Mataifa walitoa ripoti ambayo inaitaka mahakama y'a kimataifa y'a ICC kuanzisha uchunguzi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment