Kongamano baina ya Israel na bara la Afrika lililokuwa limpangwa kufanyika mjini Lome nchini Togo ifikapo Oktoba laahirishwa bila ya kufahamishwa lini litafanyika.
Taarifa hiyo imetolewa na vyanzo vya habari vya Israel.
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Israel Emmanuel Nahshon amefahamisha kuwa hatua hiyo imechukuliwa baada ya rais wa Togo kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa Israel Benjamin Neyanyahu.
Msemaji wa wiizara ya mambo ya nje wa Israel hakufahamisha sababu zilizopelekea kuchukuliwa hatua hiyo ya kuahirisha kongamano hilo lililokuwa linatarajiwa kufanyika ifikapo mwezi Oktoba.
Mahshon amesema kuwa rais wa Togo alifahamisha kuwa maatarisho ya mkutanao huo yatakaiwa kuandaliwa kikamifu ili kufaanikisha mkutano huo baina ya Israel na Afrika.
No comments
Post a Comment