RAIS DKT.JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASALI KATIKA KANISA KUU LA MTAKATIFU PAULO WA MSALABA JIMBO KUU LA DODOMA ,PIA AMEONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI NA MKUTANO WA HALIMASHAURI KUU YA CCM (NEC) MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA DISEMBA 17,2017.
Writen by
sadataley
12:16 PM
-
0
Comments
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na
Mkewe Mhe.Mama Janeth Magufuli wakiwa pamoja na masista na waumini wa
Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma
kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania General Vernance Mabeyo akiwa
na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu
Katoliki la Dodoma kusali ibada ya Jumapili ambapo Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na
Mkewe Mhe.Mama Janeth Magufuli wameudhulia.Disemba 17,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la
Dodoma kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akipeana mkono wa amani mmoja wa Masista wa Kanisa Kuu la
Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma kusali ibada ya
Jumapili.Disemba 17,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akishiriki kutoa sadaka katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa
Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma alipohudhuria kusali ibada ya
Jumapili.Disemba 17,2017.
Mhe.Mama
Janeth Magufuli mke wa Rais akishiriki kutoa sadaka katika Kanisa Kuu
la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma aliposhiriki
kusali ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Padre Fr. Sergio Madinda na waumini wa Kanisa Kuu la
Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma aliposhiriki
ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akimshukuru (kulia) Padre Fr. Sergio Madinda na waumini wa
Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma
aliposhiriki ibada ya Jumapili.Disemba 17,2017.
Picha na habari na IKULU
No comments
Post a Comment