RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA TAWI LA BENKI YA CRDB JENGO LA LAPF DODOMA DISEMBA13,2017.
Writen by
sadataley
5:20 PM
-
0
Comments
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa
ameambatana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB alipokuwa
akiwasili wakati wa sherehe za Ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo
la LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Jobu
Ndugai wakati wa sherehe za Ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la
LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na
viongozi wengine wa kitaifa wakiimba wimbo wa taifa wakti wa sherehe
za ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba
13,2017.
Mkurugenzi
mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei akizungumza mbele ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa
ufunguzi wa tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Benki ya CRDB pamoja Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB
Dkt.Charles Kimei wakimkabidhi hundi ya shilingi milioni 100 Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli kwaajili ya
Ufadhili wa miradi mbalimbali ya maendeleo kabla ya kufungua tawi la
benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
akikabidhi mfano wa hundi ya milioni 100 kwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma
Dkt.Bilinith Mahenge kwaajili ya ujenzi wa Hodi katika Hospitali ya mkoa
Dodoma mara baada ya kukabidhiwa hundi hiyo na Mwenyekiti wa Bodi ya
Benki ya CRDB Bw.Ally Laay kabla ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo
la LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
akihutubia wananchi kabla ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la
LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano Mzee John
Malecela mara baada ya kuhutubia wakati wa kufungua tawi la benki ya
CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
akifungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
akimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB mara baada ya kufungua
tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akikata
utepe kuashilia kufungua rasmi tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF
Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Jobu Ndugai
mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma
disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
akisalimiana na aliyekuwa Waziri wa kwanza wa Serikali za Mitaa
nchini Balozi mzee Job Lusinde mara baada ya kufungua tawi la benki ya
CRDB jengo la LAPF Dodoma disemba 13,2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli
akisalimiana na kumpongeza Msanii wa muziki wa kizazi kipya Peter
Msechu mara baada ya kufungua tawi la benki ya CRDB jengo la LAPF Dodoma
disemba 13,2017.
Habari kwa hisani ya IKULU
No comments
Post a Comment