Writen by
sadataley
11:22 AM
-
0
Comments
Wanafunzi zaidi 100 wa kidato cha sita shule ya Taqwa Campus ya Ghana Mwanzawameandamana kwenda Ofisi ya Afisa Elimu Mwanza wakishinikiza kullipwa pesa zao 50,000 kwa kila mmoja walizotoa kulipia mtihani ambao baadae uliahirishwa.
Wanafunzi hao wakizungumza na Kaimu Afisa Elimu mkoa wa Mwanza Joseph Ngosekipia wamemueleza sababu za kuwakataa Walimu wao wawili pamoja faini ndogondogo ambazo wamekuwa wakizitoa shuleni.
Millardayo
No comments
Post a Comment