Thursday, March 8, 2018

Nyumba na kituo cha Polisi vyaangukiwa na mnara

March 7, 2018 katika Jiji la Dar es salaam ilinyesha mvua yenye upepo mkali ambapo kuna baadhi ya maeneo mvua hiyo iliathiri makazi ya watu, miundombinu na sehemu za biashara, millardayo.com nakusogezea picha jinsi baadhi ya maeneo ya DSM navyoonekana baada ya mvua.

millardayo

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment