Writen by
sadataley
5:27 PM
-
0
Comments
Argentina imemteua aliyekuwa kocha wa Barcelona Gerardo Martino
kurithi nafasi yake Alejandro Sabella
Argentina imemteua aliyekuwa kocha wa Barcelona Gerardo Martino
kuiongoza timu ya taifa baada ya kung'atuka kwa kocha wa zamani Alejandro
Sabella.
Martino, 51, alifurushwa kutoka Barca mwisho wa msimu uliyopita baada ya
kushindwa kushinda taji lolote kwa mara ya kwanza tangu mwaka wa 2007.kocha wa zamani Sabella aliondoka baada ya kushindwa kwa bao moja kwa nunge na Ujerumani katika fainali ya kombe la dunia huko Brazil.
Martino alimrithi kocha wa zamani wa Braca Tito Vilanova mwezi Julai 2013,Camp Nou baada ya kutia sahihi kandarasi ya miaka 2 .
Katika kipindi hicho Barca ilisajili ushindi katika mechi 40 kati ya 59 alizokuwa kocha lakini wakashindwa kusajili ushindi wowote wa tuzo la bara ulaya.
Argentina imemteua aliyekuwa kocha wa Barcelona Gerardo Martino
kurithi nafasi yake Alejandro Sabella
The Catalans walishindwa tena na vibonde wao Real Madrid katika fainali ya kuwania kombe la Copa del Rey.
Punde baada ya kuondoka kwake Camp Nou Barcelona,ilimteua Luis Enriqueas kurithi nafasi yake.
Atajulishwa rasmi hapo kesho (Alhamisi) kama mkufunzi wa Argentina.
No comments
Post a Comment