Writen by
sadataley
2:21 PM
-
0
Comments
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Bandari Nchini (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko (Wa pili kushoto) akitoa
maelezo kwa Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa (Wa pili kulia) kabla ya kutiliana saini mkataba wa ujenzi wa
bandari kavu baina ya TPA na Shirika la uzalishaji Mali la Jeshi la
kujenga Taifa –SUMA JKT jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Bandari (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko (Wa pili kushoto) na Mwanasheria
Mkuu wa Shirika la uzalishaji Mali Jeshi la kujenga Taifa –SUMA JKT
Kanali John Mbungo, (Wa pili kulia), wakitiliana saini mkataba wa ujenzi
wa bandari kavu katika eneo la Kwala-Ruvu mkoani Pwani. Mkataba huo
umesainiwa leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Bandari (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko (kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa
Shirika la uzalishaji Mali Jeshi la kujenga Taifa –SUMA JKT Kanali John
Mbungo (Kulia) wakikabidhiana mikataba ya ujezi wa wa bandari kavu
katika eneo la Kwala-Ruvu mkoani Pwani. Katikati ni Waziri wa Ujenzi ,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akishuhudia makabidhiano
hayo.
Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa(Katikati), akisisitiza jambo kwa
watendaji wa Mamlaka ya Bandari (TPA) mara baada ya kutiliana saini
mkataba wa ujenzi wa wa bandari kavu katika eneo la Kwala-Ruvu mkoani
Pwani.
Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
No comments
Post a Comment