Writen by
sadataley
3:12 PM
-
0
Comments
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt.Juliana Pallangyo,
(aliyesimama), akizungumza mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Nishati na Madini, wakati wa ziara ya kamati hiyo kutembelea Mradi wa
Umeme wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam, Machi 23, 2017

Meneja Msimamizi wa Mradi wa Kinyerezi
I, Yuka Mukaibo kutoka kampuni inayojenga mradi huo ya Sumitomo kutoka
Japan, akizungumza mbele ya wajumbe wa Kamati walipotembelea eneo la
Mradi jijini Dar es Salaam, Machi 23, 2017. Wakwanza kulia ni Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, anayeshughulikia Nishati, Dkt.
Juliana Palangyo,na wakwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
TANESCO, Dkt. Tito Mwinuka.

Naibu Mkurugenzi wa TANESCO, Mhandisi
Khalid James, (aliyesimama), akitoa ufafanuzi wa utekelezaji wa Mradi
huo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini
waliotembelea kujionea maendeleo ya Mradi huo.
Chanzo:Mjengwa Blog
No comments
Post a Comment