Writen by
sadataley
10:15 AM
-
0
Comments
Wakati kesho kukitarajiwa kufanyika uchaguzi wa Rais wa chama cha
wanasheria wa Tanganyika, leo wanasheria hao wamekuatana Arusha kwenye
mkutano mkuu wa chama cha wanasheria hao.
Katika mkutano huo, aliyekuwa mgombea wa Urais wa TLS, Mwanasheria Lawrance Masha ametangaza kujiondoa kuwania Urais huo na amesema anamuunga mkono Tundu Lissu na kura zake apigiwe Tundu Lissu.

No comments
Post a Comment