Friday, March 10, 2017

MAHAKAMA YA TANZANIA YAENDELEA NA MABORESHO


MAHA
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma(Mwenye shat ijeupe) akifuatilia Mada kuhusu Mpango Makakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Maboresho ya Mahakama iliyokuwa ikitolewa jana na Mratibu wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahahakama ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit-JDU) jijini Dar es Salaam
MAHA 1
 Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Ndg. Hussein Kattanga akifafanua jambo kuhusu Mada ya Maboresho ya Mahakama ya Tanzania iliyokuwa ikitolewa na Mratibu wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit) jana jijini Dar es Salaam
MAHA 2
Wajumbe wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit) wakiwa na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma(hayupo pichani) kwa ajili ya kutoa taarifa za Maendejana ya Maboresho ya Mahakama
MAHA 3
Mratibu wa Kitengo cha Usimamizi wa Maboresho ya Mahakama ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit) Mhe. Zahara Maruma (mwenyemiwani) akimuelezea Kaimu Jaji Mkuu waTanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma(hayupo Pichani) Maendejana ya Maboresho ya Mahakama jana jijini Dar es Salaam
PICHA NA LYDIA CHURI WA MAHAKAMA YA TANZANIA
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment